Duh!SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi.
TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida.
Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu isiyotengenezeka ya reli ya kati.
Pesa hakunaMbona siku hizi hatupati updates za ujenzi wa SGR lot 3 na 4 (Makutupora -Tabora-Isaka) imefikia percent ngapi? Mara ya mwisho nilisikia lot 3 imekamilika 15% wakati Contractor Yepi Merkezi walipoiacha, naona imechelewa sana.
TRC iliwahi kumiliki mabasi na meli pia na ilifanya vizuri tu.SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi.
TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida.
Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu isiyotengenezeka ya reli ya kati.
SGR apewe Rostitamu mchezo utakua umekwishaSGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi.