Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii.

Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu, nk? Yaani kwasasa jinsi ilivyo, Mtumishi mwingine anakuwa promoted kwa mjibu wa Sheria tu , tofauti na hapo anapewa hongera na bahasha ,basi.

Hii haimsaidii sana mtumishi huyu, nivyema mamlaka zikaliona hili. Mtumishi akifanya vizuri, awe promoted kuanzia vyeo, mshahala nk. Naamini inawezekana kwasababu tumeona inawezekana kwa Askari wetu.
Nawasilisha🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom