Serikali iongeze marupurupu kwa mwalimu

Namna ya kuwasaidia hawa walimu ni Serikali kupiga marufuku madeni wasikopeshwe kabisa.Mishahara ya walimu ni mikubwa ila wanavyopenda kukopakopa sasa ni madeni mtupu
Sio walimu tu wanaokopa halafu kukopesha ni kazi za watu unataka wasipate wateja utawapa wewe pesa za kutimiza majukumu yao
 
Waalimu acheni kudeka na kuanza kulialia kama wanawake wasiofikishwa kileleni😀pigenj kazi ikifika 2030 nendeni kwenye kampeni mkavae tisheti zenu za kijani na posho za elfu 20 baaaasi
 
Heeh! Tunafahamiana kwani, usikute wewe ni mwanafunzi wangu ati.
Tupazie sauti mkuu walimu tuongezewe marupurupu kusahihisha karatasi 500 kunahitaji posho
 
Hiyo ni ndoto Tz hapa
 
Waalimu acheni kudeka na kuanza kulialia kama wanawake wasiofikishwa kileleni😀pigenj kazi ikifika 2030 nendeni kwenye kampeni mkavae tisheti zenu za kijani na posho za elfu 20 baaaasi
Tuoneeni huruma wakuu nasisi tuna haki ya kula mema ya nchi hii
 
Waalimu acheni kudeka na kuanza kulialia kama wanawake wasiofikishwa kileleni😀pigenj kazi ikifika 2030 nendeni kwenye kampeni mkavae tisheti zenu za kijani na posho za elfu 20 baaaasi
Du hujui walimu wametufikisha hapa leo
 
Tupazie sauti mkuu walimu tuongezewe marupurupu kusahihisha karatasi 500 kunahitaji posho
Aisee, umesisitiza sana aisee.
Sasa hapa inaanzia wapi?
Hapa jukwaani kuna wakongwe wa hizo mambo anza na Madame B trust me huyu yuko jikoni, kama sio Tamisemi atakuwa Min.of Education.

Halafu kuna mtaalamu mwingine KOKUTONA, sijui kama hii ID yake iko active. Ila nimzoefu wa hizo kazi anajua how to make money kupitia hizo kazi.

Wengine siwakumbuki ila hapa jukwaani wapo kabisa watu wapo huko sera zinapotengenezewa...
 
Ahsante kwa kidogo mkuu kuwaita wakuu wa wizara pia ni jambo jema
 
Tuoneeni huruma wakuu nasisi tuna haki ya kula mema ya nchi hii
Nyie ni daraja la watu Kula mema ya nchi na ndiyo watu pekee mnaleta kikwazo cha mabadiliko ndani ya nchi hii Yani nyie waalimu na boda boda tofauti yen ni mmoja analewa kwa harufu ya petrol ndo maana ubongo unakuwa haufanyi kazi vizuri na nyie chaki zinawaharibu ubongo🖐️.

Nyie mnakuwaga bize kupakiwa kwenye maroli kama magunia ya mahindi kwenda kwenye mikutano ya Wala mema ya nchi huku kile chama chenu cha waalimu kina madudu kibao na makato yasiyo na kichwa Wala miguu lakini hamjawahi kupiga kelele🚮
 
Mimi kama mwalimu Kwa mitusi iliyotukanwa hapa aisee , kesho siendi kazini nifanye kazi zangu tu
Mkuu hiyo kazi achana nayo tu Bora uwe boda boda maana ualimu na boda boda tofauti yenu ni ndogo sana
 
Mnashirikiana na serikal kuiba kura afu mnataka muongezewe marupurupu maskini wa akili nyie

Ayo ndo matokeo ya kushirikiana na wezi si huwa mnaona raha kula pesa pindi ya uchaguzi afu mnasahau kuna maisha baada ya uchaguzi

Kwanza uwalimu ni wito km unaona huwezi acha kazi watakuja wenye wito wao watafanya kazi ata bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…