Serikali iongeze marupurupu kwa mwalimu

Ndio

Wewe ni ajira mpya,na inaonekana limbukeni,na hata Hilo neno per diem inaoneana hujui linahusu nini.
Sasa kusahihisha mitihani ya ndani kunahusiana vipi na per diem?
Nimekuacha maana unaonekana ni slow learner fuatilia comments utaelewa mdogo mdogo
 
Marupurupu yakiongezwa hayo malalamiko yenu kwa walimu yatapungua
 
Kazi gani ya serikali sio wito mkuu?
 
Nimekuacha maana unaonekana ni slow learner fuatilia comments utaelewa mdogo mdogo
Swali lipo hapa mitihani ya ndani inahusiana vipi na per diem?,hivi ulipita chuo kweli au ndio walimu wa kufoji vyeti?
Eti mwalimu wa zamu apewe per diem!?
Ungezumzia "overtime" labda ungeeleweka kidogo.
 
Zamu ina uhusiano gani na over time elewa maana ya marupurupu au posho hizo ni muhim sana kwa mfanyakazi
 
Zamu ina uhusiano gani na over time elewa maana ya marupurupu au posho hizo ni muhim sana kwa mfanyakazi
Shida umeanzisha wewe,umeandika marupurupu kwenye mabano ukaweka (per diem)
Kama ulikusudia marupurupu ulitakiwa kwenye mabano uweke(monetary benefits)
Hapo sasa hoja yako ingejadilika.
Na baadae ungeweka hizo per diem labda iongezeke (kama mwalimu anasafiri kikazi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…