Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa ARV's zinakwenda kuwa big deal, wachuuzi wadogo hawatazipata tena. Hofu yangu ni kwamba kwenye maghala ya dawa ya MSD watu wanaweza kujizolea na kuzificha ili wakatajirike siku za machoni.
Ulinzi uongezwe. JWTZ walinde maghala ya dawa kwenye kipindi hichi cha mpito, vijana wa SUMA JKT ambao ndio walinzi kwenye haya maghala yetu wanalipwa laki mbili , ni kama pesa ya dagaa tu. Wakipewa laki 1 mtu anaondoka na makatoni ya ARV's kiulaini huku wao wakikenua macho.