Serikali ipeleke bendara ya taifa kwenye ofisi za umma na ofisi za taasisi mbalimbali, na zipandishwe na kushushwa kama ilivokuwa zamani

Serikali ipeleke bendara ya taifa kwenye ofisi za umma na ofisi za taasisi mbalimbali, na zipandishwe na kushushwa kama ilivokuwa zamani

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Hili ni agizo la mwananchi wa kawaida Kwa serikali.

Ni aibu ofisi za mitaa, vijiji, miji mbalimbali nchini kukosa bendera ya taifa huku mkiimba uzalendo mdomoni.
Mmeshindwa hadi na mahotel na shule za chekechea wao wanakua na bendera ya taifa ilihali ninyi ofisi zenu hazina bendera.

Vituo vya polisi vya vijiji na kata vingi havina bendera ya taifa, magereza nyingi hazina bendera ya taifa na kama wanazo basi zimechoka kupita maelezo.

Walau kwa mwaka kila ofisi ipokee bendera mbili na zitumike kila moja Kwa miezi sita huu uwe utaratibu, ni aibu na fedheha kubwa kwenu, oneni aibu.
 
Bora zisiwepo kabisa, maana hizo bendera zikishushwa wanataka watu wasimame.
 
Back
Top Bottom