Serikali ipeleke madawati ya jinsia katika Vyuo Vikuu

Serikali ipeleke madawati ya jinsia katika Vyuo Vikuu

Joined
Jan 22, 2014
Posts
33
Reaction score
83
Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri.

Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote ni Dean of Students ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza wasiwe fair katika kushughurikia kesi zinazohusu unyanyasaji wa mabinti wetu.
 
Ipeleke dawati halafu savana na Desperado watakunywaje😅?
 
Back
Top Bottom