Haya ni madhara ya kutoelewa vizuri somo la psychology[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah ukifanya tafakuri sana unaweza jikuta hata wewe mwenyewe sio mwenyewe ila kuna kitu kingine kinachojidai ni wewe.
Kwani kinachofanya nyumba zipande bei ni nini? Wewe ukikaa kule Sinza kulikosongamana kama mabanda ya mbuzi, kuna hadhi ya kulipa sh hata 30,000 kwa mwezi? You are being so unfair. Naona Dar inawalemaza sana akili. Waulize waliohama kutoka Dar na sasa wanaishi Dodoma. Watakwambia real experience.Kijana Jamaa amesababishanyumba kupanda bei tofauti na mkoa wenyewe ulivyo, Dodoma haina hadhi ya chumba kukodishwa 70,000/ hadi 100,000/ kwa mwezi.
system error occurred[emoji3544]
Wafanyakazi wa serikali ndio wametupwa huko Dom lkn serikali haijahamia huko bado iko dar.
Dar kuchereeeee.
dodge
Unajua maana ya Serikali? Nimeuliza serikali ipi imehamia Dodoma! Uwe unaelewa swali kabla ya kujibu meku
Nawaangalia Halafu Nasema Hii BhaghoshaaWafanyakazi wa serikali ndio wametupwa huko Dom lkn serikali haijahamia huko bado iko dar.
Dar kuchereeeee.
dodge