USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kuna idadi kubwa ya wakimbizi wa congo nchini Burundi nao wanasema malengo yao ni kufika Tanzania kwenye kisiwa cha amani.
Ukweli ni kuwa jamii ya watu wa ngara inavinasaba na ile ya Rwanda ya watutsi hapa kunaundwa vurugu kubwa siku za usoni ni hatari kwa vizazi vijavyo maana hata leo bado jamii hii ya watutsi ngara ,biharamulo, Muleba, geita, katoro, kyerwa,Karagwe ,mwanza na kanda nzima ya ziwa ni kero ,hakuna kazi kubwa kama kuishi na mtutsi ni wabaguzi sio mchezo.
kama hawa wacongo tayari wanavuka mto ruzizi na kuingia Burundi hukuwakisema lengo lao ni kwenda Tanzania na wengi kuishia kagera hapa lipo tatizo.
Tunaiomba serkali ipige marufuku hawa watu na ulinzi uimarishwe mipakani kote