Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji mipango miji, makazi yajengwe kwa mpangilio na kila nyumba iwe na barabara ya gari.Naona Hati Miliki nyingi zina sharti la kuendeleza kiwanja ndani ya miezi 36, huu muda hautoshi, walau iwe miaka mitano, au ihesabiwe kwa asilimia ya maendelezo.
Ni hayo tu