Serikali ipunguze matumizi

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Viongozi wa juu wa kitaifa wanahitaji mahitaji maalumu kila waendapo na yanahusisha gharama. Misafara yao na wasaidizi wao. Ikiwa hilo halitoshi wenyeji nao wana misafara yao kila panapokuwa na tukio linalohusisha kiongozi mkuu. Hivi kweli ni sawa.
  1. Waziri mkuu kuandaliwa rasmi shughuli ya kugawa vishkwambi? Pangetolewa muongozo wa ugawaji si ingetosha!
  2. Kila mwaka serikali inanunua magari na pikipiki. Hivi kweli ni sahihi kumtumia Makamu wa Raisi kugawa vitu kama hivi?
Hebu wakubwa zetu mambo mengine yafuate taratibu tu labda iwe kama kuna kutafuta political mileage na si utendaji wa kawaida wa serikali.
 
Katika makusanyo yote ya mwezi ya TRA, Serikali na Taasisi zake wanatumia 80%, inayobaki ni 20% ndiyo tunayogawana watanzania. Kwa hiyo ndugu zangu kwa mwenendo huu maendeleo yetu yatatokana na kukopa na hela za misaada.
 
Bila shaka umeamua kuwapigia
πŸπŸπŸ‘‰πŸŽΈ!! Kamwe hawatakusikia.
 
Viongozi wa juu wa kitaifa wanahitaji mahitaji maalumu kila waendapo na yanahusisha gharama. Misafara yao na wasaidizi wao...
 
Hautaki ma WEO maendeshe pkpk za wavuja jasho?

serikali ya tanzania ni dona kantre!
 
Itakua ngumu mzee πŸ˜‚πŸ˜‚, mnatuonea wivu tu 🀣🀣🀣!! Imagine zile LC 300 bei yake na zimejaa nchi na plate no za gavoo!!
 
SERIKALI YA TANZANIA TAJIRI SANA Waacheni VIONGOZI NA WABUNGE WALE MAISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…