Maneno mengi yamesemwa juu ya mkataba huu na wengine wameenda mpaka Mhakamani kupinga mkataba huu. Sisi tunaokaa huku kwa wananchi tumesikia mengi na sumu nyingi imemwagwa kwa wananchi kuhusu ubaya wa mkataba huu. Kama Serikali ikiamua kuendelea na mkataba huu yafuatayo yanaweza kujitokeza:-
(1) CCM kuchukiwa na wananchi wakidhani nchi yao inauzwa.
(2) Asilimia 90 ya Wabunge wa CCM itakuwa vigumu kurudi mjengoni 2025. Wananchi wanaona wanasalitiwa na Wabunge wao waliowachagua kuwakilishi maoni yao.
(3) Imani ya wananchi kwa Mhe. Rais wao utapungua sana na hata sasa unaendelea kupungua na inawezekana mgombea wa CCM akashindwa kabisa kwenye uchaguzi ujao.
Wananchi wengi wakiwamo Wazee wetu walioongoza nchi hii, Madhehebu ya dini, LHRC na wengineo wakitaka pale penye kasoro kwenye mkataba huu parekebishwe. Tunaiomba Serikali iwasikilize wananchi wake na ndiyo waliyowaweka madarakani.
Sikilizeni mawazo ya wananchi.