Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Yaani mpk leo TZ gvt inafanya command economy ya kupanga bei za vitu au huduma baada ya kuruhusu soko huru lichukue matakwa yake? Ndo maana hata uchumi haukui na ndio maana tunapata huduma za ovyo coz hamna international service provider atakuja hapa wakati mazingira ya biashara ovyo na mambo ya kupangiwa bei ukijumlisha makodi kibao yasio na mbele wala nyuma.