Serikali isifanye mambo kwa kukurupuka, kuteua leo na kutengua kesho ni fedheha kwa nchi

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!

Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa. Kukosa umakini kama hivi ndiko kulipelekea nchi kusaini mkataba mbovu na DP World.
 
Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!

Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa. Kukosa umakini kama hivi ndiko kulipelekea nchi kusaini mkataba mbovu na DP World.

Umecheua, jamani tumpe maua yake!
 
Hongera John Ulanga kupewa hadhi ya ubalozi, na pia hongera kwa Peter Ulanga kuendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TTCL.
 
Kuna mada humu nimesoma yaani pasipo katiba mpya yenye meno au jeshi kushika hatamu, haya unayosema hayawezi kuisha.
 
Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!

Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa. Kukosa umakini kama hivi ndiko kulipelekea nchi kusaini mkataba mbovu na DP World.
Anayeteua anajulikana
Acha kutusingizia serikali
 
Magufuli aliwahi letewa Jina la Chawa kua mkurugenzi wa TPDC.

Chawa Mmoja ivi, muhunmuhuni , Jamaa alimtumbua kabla Jua halijakucha.
 
Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!

Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa. Kukosa umakini kama hivi ndiko kulipelekea nchi kusaini mkataba mbovu na DP World.
Sijuhi ni kitu gani kinaogopwa, Maharage ameonyesha uwezo mdogo na kushidwa kuiendesha kwa ufanisi TANESCo. Ni kigugumizi kipi kinachotokea hasipumzishwe?? Kaharibu kule na sasa analetwa Posta aimalizie?

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Washauri wa kiongozi Mkuu,acheni kumtia fedheha kiongozi Mkuu wetu.Kiongozi Mkuu wetu,anatakiwa kupanga upya safu yake ya washauri kuondoa makosa ya kila siku,to error is human,but it should not be always.
Maharage Chande, January na Nape,hawa wote ni vijana wa Katibu Mkuu Mstaafu ambaye ni chawa wa kiongozi Mkuu na anaogopwa Sana ndani ya CCM.
 
Hiki ndio anapenda KIZIMKAZI kuliko chochote pale magogoni.
 
Back
Top Bottom