Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!
Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa. Kukosa umakini kama hivi ndiko kulipelekea nchi kusaini mkataba mbovu na DP World.
Anayeteua anajulikanaJuzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!
Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa. Kukosa umakini kama hivi ndiko kulipelekea nchi kusaini mkataba mbovu na DP World.
Sijuhi ni kitu gani kinaogopwa, Maharage ameonyesha uwezo mdogo na kushidwa kuiendesha kwa ufanisi TANESCo. Ni kigugumizi kipi kinachotokea hasipumzishwe?? Kaharibu kule na sasa analetwa Posta aimalizie?Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!
Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa. Kukosa umakini kama hivi ndiko kulipelekea nchi kusaini mkataba mbovu na DP World.