Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

Huyu DG wa Precision kakukosea Nini unataka awekwe lockup? Kule kuonesha kwake Simanzi in Public ndio kosa lake? Yaani asiwalilie Marehemu, Watumishi Wenzake, Rubani na Wengineo? Duuh Wacha Mvua inyeshe tuone panakovuja ni Ukweli halisi.🙄🙄Chuki Binafsi.
 
Chuki binafsi ya kibiashara,
 
Ndugu Labda kwakukusaidia tu snags or technical fault it's happening hata katika mashirika unayo yaamini..
Kitu unatakiwa kujua kwenye ndege kuna Mifumo ya utendendaji kazi zaid ya option moja.

Mfano kwenye landing gear Kwa lugha rais miguu ya ndege Inafanya kazi through 3 system kuna electrically ,mechanically, hydrolically, sometime zingine zimewekewa mpaka pneumatic system..

Na unaposema ndege zimeexpiry Pengine kunakitu auna ufahamu nacho kuhusu aviation.
Kwanza kwakukusaidia ndege ni chombo ambacho kinaweza kuish miaka mingi zaid Pengine kuliko chombo chochote cha usafir Kinacho tengenezwa na Mwanadamu..

Kitu Kinacho mata maintance schedule unavo zifuatazo hilo tuh ukizingatia hilo ndege unaweza kaa nayo ata miaka miatatu .
Kwa tafsil ingine ndege ni airframe ile structure ya ndege ukiweza kutunza ile bac ndege ako itakua saafi. Kwasababu Kunavitu kama corrosion,cracks, ni adui mkubwa wa airframe ambavyo unatakiwa kuzibit mapema. Tusifike uko lkin kitu Natamani ujue ni kwamba ndege inavitabu tofaut tofaut Kama vitatu kulingana na aina ya ndege..
1.powerplant ambayo ndo engine
2.propeller
3.airframe

Hapo kwenye airframe kuna miguu ambayo ndo landing gear ambayo nayo ubdilishwa kwakuesabu landing cycle ambapo Kama manufacture amekwambia miguu yangu itaenda cycle elf kumi tuh utakapo maliza tuh utatakiwa urudishe Kwa manufacture kwajili ya overall the same kwenye propeller na engine ambapo uko awaesbu cycle tena bali wanacalculate hours
.

Ko si swala la ushabiki tuh it's all about processing understanding Ko hiv vitu kaka almost mashirika yote yanapata challenge za kitechnicall mala kazaa nimeona shirika kama kenyaairways ikipata ingine failure maalafulan..
Lakin pia kitu kingine shirika tunalo lijadil nilikua najaribu kufatilia historia ake hapa naona limeanzishwa 93 and this it's first accident kutokea..
Ko mm ninacho weza Shaur tusubilie wataalamu wetu waje na investigation report then tutajua mbiv na mbch




Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 

Okay
 

Amekosa sana. Anajua wazi Injini zao Huwa zina feli , but still no proper inspection.

Kwa kukusaidia, biashara ya ndege kwa TZ ni haina faida , Na pia Services za ndege ni very Expensive Hivyo hata service za kila mwezi hazifanyika

Kama unadhan ATCL wametoa Tangazo Lao la kusimamisha baadhi ya safari ili kupitia maboresho ya injini zake kwa bahati mbaya , Endelea kusema ajali île ni bahati mbaya
 
Unaandika vitu vihusuvyo ndege halafu unasema barafu ni "unnecessary things".!!???
Kizazi cha FB bakini huko huko FB,tuacheni baba zenu huku.

Ndio nini hiko , Acha kutoa ukubwa usio Na maana huyu ni mtu tu Kama watu wengine hana impact yoyote kwenye maisha ya kawaida so relax [emoji1690]
 
Precision inafanya masafa marefu yapi mkuu, safari ya Dar-Mwanza? you are not serious!
kwa ndege kama Precision ni masafa marefu.
Dar/mwanza/Bukoba/kigoma/.
hapana, binafsi sina imani.
labda walete ndege zingine sio hizo za kupasua vichwa.
 
Kwa nini serikalii isimamishe shuhuli zote za precision air? kwani wao ndio wanaomiliki na kuendesha air tarffic control huko bukoba? Kwa maelezo ya mmoja wa abiria aliesalimika anatwambia kuwa hali ya hewa ilikuwa mbaya sana na captain aliwajulisha kuwa vision haikuwa nzuri na anajaribu kurudi tena na kuona kama ataweza kutuwa. Kama hali ilikuwa ni hivyo ilikuwa ni jukumu la waliokuwapo kwenye tower ya air taffic control kumshauri kapteni kutotua na aende uwanja mwengine ulio karibu nao. Sasa kuwalaumu Precision na kuwaachilia waongozaji wa ndege pale kiwanjani ni uonevu tu!!!!
 
Ndio nini hiko , Acha kutoa ukubwa usio Na maana huyu ni mtu tu Kama watu wengine hana impact yoyote kwenye maisha ya kawaida so relax [emoji1690]
Watoto wa Facebook mnaliharibu jukwaa letu.
 
ONDOA UNAFKI WAKO HAPA WE MBWEHA.

MBONA KILA SIKU MABASI YANAUA WATU NA HATUWAONI MKISHIKILIA MABANGO HUMU , AU HAO WANAOFIA BARABARANI NAO SIYO WATU ?
 
Bado unamsifia Rubaga,kwanini alikubali kuendelea kupaisha ndege mbovu au nae alikuwa na njaa
 
Ukosahihi ndege zimefukuzwa marekani zinafanya rut nchini Tanzania mitumba tutatumia mpaka ituue Sana ndipo tushituke
 

You are not well informed, pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…