Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Aridhi ya Tanzania inaenda kuhodhiwa na Wageni hasa Wakenya & Warwanda.Idadi ya Wakenya wanahamia Tanzania inaongezeka maradufu.Mwezi uliopita nilisafiri kwenda Msibani Tarime wakati narudi kuelekea Mwanza mida ya SAA 1 kutokea Tarime-wakati tunafika katika daraja la MTO Mara mpakani mwa Wilaya ya Musoma na Tarime tulisimamishwa na Askari wa uhamiaji tukikaguliwa kwa kutoa vitambulisho na kueleza wapi tunaelekea.
Kilichonistajabisha ni kuwa nusu ya RAIA katika lile basi la Zakari walikuwa Wakenya-wakielekea Mwanza,wengi walikamatwa kutokana na kuwa na kiswahili kibovu cha kikenya.imagine tunazungukwa na Nchi 8 ni wTu wangapi wanaingia Nchini kiholela?
Serikali iongeze jitihada katika mipaka hii idadi ni kuwa sana.