Akiongea na vyombo vya habari katibu wa walimu amedai serikali isipowalipa nyongeza za mishahara kulingana na bajeti ya 2011/2012 ndani ya mwezi huu wa tano na kabla ya kuanza kwa bajeti mpya kuanza lazima wagome.
Amedai kuna madai mengi ya walimu na walihaidiwa kulipwa ndani ya mwaka huu wa fedha hawajalipwa ikiwemo na nyongeza za mishahara.
Concern.
Kwa nini wasigome serikali yetu bila nguvu haki yako sahau

Walimu hawana lolote, wepesi wa kudanganywa wakadanganyika. Waoga wa kuporwa ajira zao. Hata leo wakiambiwa mishahara yao inapunguzwa wataogopa kugoma. Wanashindwa hata na vitoto vya chuo. Eti wanasema wana mgomo baridi. Hivi mtu ukidai kitu huku umefunga mdomo utasikiwa?
professional teachers hawagomi, wao furaha yao kubwa ni kufundisha watoto sio pesa. mkoba na timu yake ni ma-mediocre
kwani ile nyuma ya walimu waliyo jenga pale dsm ni ya nini?
Hello forum!! Naipenda nchi yangu!ila suala gumu ni je waziri husika yuko wapi?na ikiwa serikali iliwaahidi nyongeza,ugumu uko wapi?watimize ahadi!rais,mbunge,waziri,na wengine wote hufundisha na mwalimu!wakae chini wajadili suala kwa kina.