Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa.
Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru wananchi wake, huo ndio uwajibikaji, haiwezekani Wapagani nao Wafunge Ramadhan au Kwaresma halafu tubaki bila kushangaa!
Ni kweli kwamba Watanzania ni Wajinga lakini iko siku Mungu ataingilia kati na kuwaamsha yatokee kama yanayoendelea Kenya.