Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baadhi ya familia zinapika ugali tu , mboga kila mtu ajitegemee, hivi kweli Tanzania tumefika hapa!Uko sahihi kabisa kamanda hali ya maisha ni tete
Kupitia mimi wameitaka serikali kuchukua hatuaViongozi wa upinzani wanasemaje?
Umepotea uzi ?Hadi Mbowe amelamba asali na yule kichaa mwingine kurudi Ubelgiji. Maisha ni magumu sana
Hivi tunatakiwa kungoja waseme jambo au kila mmoja afanye juhudi kupambana?Viongozi wa upinzani wanasemaje?
Haswaaaa !!!Hivi tunatakiwa kungoja waseme jambo au kila mmoja afanye juhudi kupambana?
Leo wamemsifia bi tozo eti ameleta democrasia .utafikiri tuna kula democrasia wabunge wetu ni vilaza sana jamaniUkweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa.
Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru wananchi wake, huo ndio uwajibikaji, haiwezekani Wapagani nao Wafunge Ramadhan au Kwaresma halafu tubaki bila kushangaa!
Ni kweli kwamba Watanzania ni Wajinga lakini iko siku Mungu ataingilia kati na kuwaamsha yatokee kama yanayoendelea Kenya.
View attachment 2568699
Mbumbu yale!. Yanamshabikia bi. Tozo ili yalambe posho ya cku 87 haswa!.Leo wamemsifia bi tozo eti ameleta democrasia .utafikiri tuna kula democrasia wabunge wetu ni vilaza sana jamani
Bora wanaopika. Familia nyingi hazipiki kabisa. Kila mwanafamilia anakula kinakuja mbele yake anakojua mwenyewe. Hali ni ngumu sanaBaadhi ya familia zinapika ugali tu , mboga kila mtu ajitegemee, hivi kweli Tanzania tumefika hapa!