Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa
Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa ndge na hivyo kutumia fedha zilizotengwa kununulia ndege kwenye shughuli nyingine za maendeleo na pale Uchumi wa Dunia utakapo tengemaa (post covid) tutanunua ndege
Kununua ndege na kuipaki bila kuitumia huendelea kuleta hasara kubwa kwani huendelea kulipiwa; Parking slot, Annual Insurance, maintenance na mishahara ya walio ajiriwa waifanyie kazi huku inakuwa haitembei/haizalishi.