Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Sawa nakubali Kariakoo ndio kitovu cha uchumi nchini, biashara zote nchini watu wanafungashia Kariakoo, mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa yako kariakoo, nafahamu pia athari za kiuchumi endapo biashara zitafungwa pale kariakoo, lakini kwanini serikali iendelee kulea wapuuzi wanaokwepa kulipa kodi, tax evasion is a criminal offence.
Zipo precedents nyingi duniani kwa viongozi waliowahi kufungwa na wengine kuhukumiwa vifo hasa kule China on the grounds of tax evasion.Why sisi tuone suala la kulipa kodi ni la kawaida.Kama tungekuwa tunajitosheleza kikodi unadhani tungekuwa tunakopa? Tunakopa kwa sababu scope ya revenue collection is very pathetic.
Sasa wafanyabiashara wameendelea kuleta viburi, wanasema hawatafungua, mimi nilifurahia sana kauli ya Mkuu wa Mkoa, serikali ikalinde maduka yao mwezi mzima wao wakose na sisi tukose, ingawa nakubali kuwa kazi ya serikali ni kujenga mazingira mazuri lakini unajengaje mazingira mazuri kwa watu wanaotumika kisiasa.
Leo kurasa zote za Chadema katika mitandao ya kijamii zimepost mabango mengine yakionyesha kuwa wafanyabiashara hawako tayari kufungua biashara zao, usipofungua biashara yako unamkomoa nani, mwenye jengo mwisho wa siku utamlipa kodi yake.
Kibiashara, huwezi kufunga duka siku 10, watafungua wenyewe na siku wakifungua TRA wakabeni siku hiyo, yes, Taxman should not engage in politics.
Mkiendelea kuwapeti peti hao wafanyabiashara - wanasiasa watatugharimu sana.