MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma.
Hizi underground floors zimeibuka sana miaka ya karibuni kumbe ni uhuni wa watu wenye tamaa wasioridhika na vipato yao.
Ninatia wito kwa serikali kuwashughulikia kisheria wafanyabiashara wote wanaofanya uhuni unaoweza kusababisha maafa. WASIONEWE HURUMA.