Kabla hajatubu, Mwenyekiti aliyejipitisha anakimbilia kubadilisha katiba ya chama.
Hakuna cha kumfanya.
Ndani ya hichi chama kuna usemi wa,'acha waseme na usiku watalala '
Kweli anawachezesha apendavyo na msajili wa vyama yupo kwenye pochi.Mkutano kaitisha wa kimtandao hauna posho wala nauli labda wajumbe wa mikoani watafikiriwa bahasha.