Serikali isiyumbishwe na vibaraka dira 2050 ndio mpango mzima

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika.

KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
 
Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika.

KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
Dira yao hiyo ndiyo ya mauaji ya halaiki,utekaji,unyanyasaji,ufisadi,uporaji wa chaguzi,uporaji rasilimali za taifa uongozi mmbovu kwenye mihimili yote ama dira ya kuwa mammlakani kwa nguvu ya mtutu wq policcm?
 
Shift ya usiku ngumu sema inaposho ya kulala

Hongera asubh una buku7*2
nimepewa hilo jina la buku 7 takribani miaka 10 humu jamvini ...njoo na jina jipya
 
Dira ya 2050 ndio imeelekeza kuua maelfu ya vijana? Au haya mauaji na utekaji vipo kwenye ilani ya 25-30?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…