Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kenya tu University of Nairobi wamempa Mholanzi.Shirika la emirates bos wake ni mzungu ila shirika ni mali ya emirates kwanini serekali isitafute muwekezaji kutoka foreign country kupitia interview na wampe kazi
Sio tu mwendokasi hata TANESCO wapewe foreigner watanzaia wengi uwezo wa management hawana kubinafshisha moja kwa moja sio suluhusho
Tujifunze gulf countries walivyofanya kwenye mashirika yao ambayo yana ukwasi wa kufa mtu
mgeni hawezi pokea maelekezo na na ku bow down pressure za kisiasaShirika la emirates bos wake ni mzungu ila shirika ni mali ya emirates kwanini serekali isitafute muwekezaji kutoka foreign country kupitia interview na wampe kazi
Sio tu mwendokasi hata TANESCO wapewe foreigner watanzaia wengi uwezo wa management hawana kubinafshisha moja kwa moja sio suluhusho
Tujifunze gulf countries walivyofanya kwenye mashirika yao ambayo yana ukwasi wa kufa mtu
katika watanzania m 60 mtu mwenye uwezo hayupo?Suluhu sio Foreigner.
SULUHU NI MTU MWENYE UWEZO.
PambanaZaidi/CottonandMore