Kama kichwa cha habari kinavyo sema mimi naona kiukweli TANESCO kuna sehemu wamekwama haiwezekani mvua kidogo umeme unakatika pia shirika hili linaonesha limeshindwa kumudu kwenda na wakati.
Mimi maoni yangu kwa serikali nawashauri waliuze au waruhusu usajili wa mashirika mengine binafsi kusambaza umeme labda TANESCO watajirekebisha.