Serikali itambue kozi ya Health Information Science kwenye portal ya ajira za serikali

Mbabanyi

New Member
Joined
Aug 30, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Tunaomba serikali itambue kozi ya Health information Science kwenye Portal za Ajira za serikali.

Je, serikali Ina mikakati gani? Maana huu ni mwa wa Saba na intake ya 8 Toka ianzishwe pia serikali tunapenda kupate mwafaka maana wengn tunatoka familia masikini

Pili, funguo la kujitolea Kwa hospital, vituo vya Afya n.k lipo kweli maana kila tukijaliribu kujitolea tunaambiwa kila kitu titajitegemea hakuna Hela ya kujikimu serikali inampango Gani? Kwa hilo?
 
Kuna kozi huwa zinaanzishwa ili kuzalisha wasomi wasio na soko la ajira.
 
Tunaomba serikali itambue kozi ya Health information Science kwenye Portal za Ajira za serikali.

Je, serikali Ina mikakati gani? Maana huu ni mwa wa Saba na intake ya 8 Toka ianzishwe pia serikali tunapenda kupate mwafaka maana wengn tunatoka familia masikini

Pili, funguo la kujitolea Kwa hospital, vituo vya Afya n.k lipo kweli maana kila tukijaliribu kujitolea tunaambiwa kila kitu titajitegemea hakuna Hela ya kujikimu serikali inampango Gani? Kwa hilo?
.
 
Ipi ipo kwa utumishi na ipi haipo?
HMS ipo kwenye scale ya mshahara ya utumishi, HIS bado haina scale. Ndo mana mtoa mada analalamika.

Inshort, ukitokea kwenye familia za uchumi mdogo na unategemea kuajiriwa hakikisha unasomea kozi ambayo ina scale ya mshahara Serikalini.

Thou, HIS sio kozi mbaya hata kidogo hususani private. Wanatumika kama IT waliobobea kwenye mifumo ya Afya
 
Back
Top Bottom