.Tunaomba serikali itambue kozi ya Health information Science kwenye Portal za Ajira za serikali.
Je, serikali Ina mikakati gani? Maana huu ni mwa wa Saba na intake ya 8 Toka ianzishwe pia serikali tunapenda kupate mwafaka maana wengn tunatoka familia masikini
Pili, funguo la kujitolea Kwa hospital, vituo vya Afya n.k lipo kweli maana kila tukijaliribu kujitolea tunaambiwa kila kitu titajitegemea hakuna Hela ya kujikimu serikali inampango Gani? Kwa hilo?
Utakuwa una GPA ya ovyo mzee angalia wenzako wanatafuta TA
Kuna utofauti wa Health System Management (HSM) na Health Information System (HIS)Utakuwa una GPA ya ovyo mzee angalia wenzako wanatafuta TA
Si ndo Hii ya mzumbe auKuna utofauti wa Health System Management (HSM) na Health Information System (HIS)
HSM- Katibu wa Afya
HIS- Issue za Data na Mifumo katika Afya
HMS ndio MzumbeSi ndo Hii ya mzumbe au
Yako ni ipi chiefHMS ndio Mzumbe
HIS- UDOM
Sina yeyote kati ya hizo. Ila nazifahamu kwasababu nafanya kazi kwa karibu na watu wa taaluma hizo.Yako ni ipi chief
Ipi ipo kwa utumishi na ipi haipo?Sina yeyote kati ya hizo. Ila nazifahamu kwasababu nafanya kazi kwa karibu na watu wa taaluma hizo.
HMS ipo kwenye scale ya mshahara ya utumishi, HIS bado haina scale. Ndo mana mtoa mada analalamika.Ipi ipo kwa utumishi na ipi haipo?