Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hii inanikera sana huu ujinga wa mtu hata mwezi februari huko au hata Machi bado mkikutana anakutakia ,,Heri ya mwaka mpya", binafsi naona Serikali ingesema mwisho wa Heri ya mwaka mpya iwe ni labda kwa mwezi Januari tu, na iliyobakia basi tusahau, na mwaka ujao mjifunze kuwahi kutakiana Heri!