Serikali itangaze mwisho wa kutakiana Heri ya mwaka Mpya

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Hii inanikera sana huu ujinga wa mtu hata mwezi februari huko au hata Machi bado mkikutana anakutakia ,,Heri ya mwaka mpya", binafsi naona Serikali ingesema mwisho wa Heri ya mwaka mpya iwe ni labda kwa mwezi Januari tu, na iliyobakia basi tusahau, na mwaka ujao mjifunze kuwahi kutakiana Heri!
 
Tumieni common sense . Sio kila jambo hadi serikali itoe tamko
 
Mwisho huwa ni Tar 31/30 January... Kwa mwaka huu itakuwa tar 31/1/2018...
 
Mwisho huwa ni Tar 31/30 January... Kwa mwaka huu itakuwa tar 31/1/2018...
Mwezi mzima watu wanazidi kutakiana kheri ya mwaka mpya?? Hauko serious, binafsi naona siku tano baada ya mwaka mpya iwe mwisho ili watu wawe aware kuwa cku zinatembea na wachape kazi.
 
Inategemea na sehemu uliopo ila kama nyie wasukuma hizo ndo uwa tabia zenu..
 
Achana na mambo ya kila jambo ifanye serkali. Mwisho hata salam ya kawaida itaamuliwa na serkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…