Serikali itangaze tarehe 21/01/2025 kuwa siku ya mapumziko

Mbowe atapagawa asijue alie au acheke πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† tunamshukia kama Mwewe.

Your browser is not able to display this video.
 
Kweli Chawa hana Gamba wala Gwanda....; popote anapatikana.
 
Taifa zima tuwe mapumziko kufuatilia uchaguzi wa chama mwalimu wa demokrasia nchinj.
Naamini hata mama Samia atakuwa anafuatilia live na huenda atapiga simu kupongeza kupata darasa la namna ya kufanya uchaguzi.
 
Attachments

  • Screenshot_20250112-141523_1.jpg
    202.2 KB · Views: 1
Taifa zima tuwe mapumziko kufuatilia uchaguzi wa chama mwalimu wa demokrasia nchinj.
Naamini hata mama Samia atakuwa anafuatilia live na huenda atapiga simu kupongeza kupata darasa la namna ya kufanya uchaguzi.
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.

Quote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…