Save NUNDU
New Member
- May 2, 2024
- 3
- 0
Tanzania tuitakayo ni lazima Serikali yetu itengeneze miundombinu ya raia wake kupata ajira ya kudumu na hilo litasaidia rushwa kupungua kama sio kuisha kabisa, mfano: katika familia ya watu 11 namaanisha baba, mama na watoto ni baba peke yake aliyeajiriwa huku watoto wamekuwa wakubwa na wanamtegemea baba kwa kila kitu, ili kukidhi mahitaji ya familia yake huku mshahara ukiwa ahutoshi ni lazima baba huyo atapokea rushwa pale kazini ili akidhi mahitaji ya watu 10 wanaomtegemea, lakini ajira ingekuwepo na katika watu 11 watu 9 wanayo ajira ndani ya familia moja na wanamsaidia baba kwa majumu ya familia baba asingelifikiria kupokea rushwa.
Upvote
2