Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipigia kura chama gani??Serikali ingefanya mpango wa kuwapa boom la mtaji kwa wanohitimu vyuo vikuu. Baada ya graduation graduates wote wapewe boom la kwenda kuwasaidia kuanzia maisha mtaani.
Hii ingesaidia kujiajiri kwa vijana punde baada ya kurudi mtaani.