Serikali ingefanya mpango wa kuwapa boom la mtaji kwa wanohitimu vyuo vikuu. Baada ya graduation graduates wote wapewe boom la kwenda kuwasaidia kuanzia maisha mtaani.
Hii ingesaidia kujiajiri kwa vijana punde baada ya kurudi mtaani.