Inabidi aanze kufuatilia matangazo maana Tangazo liliopita ilikuwa Januari.Serikali inatoa ufadhili wapi mkuu...??? nina rafiki yangu nataka akasome ukarani na kompyuta lol
MKuu bwana sasa sijui tunabishana nini....kwenye ufundi unapewa malelekezo na ticha na unafanya darasani, tofauti hapa unapewa maelekezo kwenye compyuta na uinafanya mwenyewe.....it is the same thing...chukulia kupamba keki...kompyuta inakuambia kwanza chukua unga chekecha je hapa kuna tofauti gani ukiwa darasani mwalimu anapokuambia chukua unga sasa chekecha????? labda useme wewe courses gani za ufundi haziwezi kufundishwa online na serikaliianzie hapo kufanya utafiti?
Thanks mkuu sikujua kitu kama hiki kipo,rafiki yangu ni mlemavu wa miguu, katika discussions zetu nikamshauri kufanya kazi ya ukarani manake unachotakiwa ni kusikiliza simu na kujua kompyuta...maana unakaa kwenye kiti mizunguko ni michache .ukiona mahali zinatolewa free online mambo hayo ni PM tafadhali.Inabidi aanze kufuatilia matangazo maana Tangazo liliopita ilikuwa Januari.
PMO-LER | Announcement
Prime Minister's Office Labour, Employment and Relations | Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusianowww.kazi.go.tz
Hata akiweza kupata ujuzi wa mikono siyo mbaya, maana Halmashauri pia zinakopesha 10% kwa walemavu hata mmoja anapata.Thanks mkuu sikujua kitu kama hiki kipo,rafiki yangu ni mlemavu wa miguu, katika discussions zetu nikamshauri kufanya kazi ya ukarani manake unachotakiwa ni kusikiliza simu na kujua kompyuta...maana unakaa kwenye kiti mizunguko ni michache .ukiona mahali zinatolewa free online mambo hayo ni PM tafadhali.
Kweli kuna serikali isiyojua kunatakiwa technology innovations kila muda mpaka itoe mafunzo outdated, kama ni hivyo serikali yetu iko hopeless kabisa..Kwanini elimu hiyo itolewe na serikali?
Mpaka masomo yatolewe mtandaoni tutakuwa tumetumia billions of shillings kutoa mafunzo ambayo probably yapo outdated maana ufundi huenda haraka zaidi na wakati kuliko nadharia.
- Kwa hali ilivyo vitahitajika vikao kwa kipindi cha mwaka mzima ili kuandaa mchakato wa kuandaa mtaala wa hiyo elimu.
- Halafu itachukua vikao vingine vyakutosha ili kuandaa na kuupitisha mtaala huo pamoja na hafla mbali mbali.
- Kutahitajika mchakato wa manunuzi ya vifaa vitakavyotumika kurekodi hayo mafunzo na kuyasambaza mtandaoni.
YouTube, Google na Chatgpt ni bure.
Serikali inafahamu lakini shughuli za kiserikali zina ka-process ambako ni very complicated na kanakula hela nyingi sanaKweli kuna serikali isiyojua kunatakiwa technology innovations kila muda mpaka itoe mafunzo outdated, kama ni hivyo serikali yetu iko hopeless kabisa..
Online courses ni nzuri endapo una elimu msingi inayo husu utakacho soma online kumbuka tekinolojia ina badilika na usipo badilika jinsi tekinolojia inavyo badilika unaachwa nyuma sana unakuwa umepitwa na wakatiNi wazo zuri, ila ufundi unahitaji vitendo zaidi, na vitendo vinatakiwa vifanyike maeneo ya kazi/ karakana.