Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kitendo ambacho Simba imefanya ni kitendo cha Uzalendo na Ushujaa Uliotukuka. Ni kitendo cha Kuigwa kwa Kila Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumla.
Simba imepambania Taifa la Tanzania ikiwa imeweza waunganisha hata na wachezaji wa nchi nyingine kuipambania Tanzania.
Sasa mwakani Tanzania tunaingiza Team 4 CAF. Yanga na Azam kwa sasa wanaanza tu kujipanga kwa Mashindano yajayo. Kiulaini tu wanaenda. Baba kashatengeneza njia. Mama,Watoto wanafuata.
Kwa kweli nashauri majina ya wachezaji hawa yaandikwe kwenye Mnara wa Mashujaa, Wazalendo kweli kweli. Haya majina yaandikwe kwa dhahabu ili na team nyingine ziweke Utanzania kwanza.
Simba ni mashujaa pamoja na kuwepo Makaburu ndani ya nchi ambao hawakupenda ona Mafanikio ya Te hii ila imeweza shida maadui wa ndani na nje.
Kwa kweli tukiweka ushabiki pembeni ,unazi,unafiki,husda,kijicho,chuki,wivu,uchawi na roho mbaya. Tutakubaliana Simba ni Baba Lao.