Serikali itoe Ngao ya Uzalendo na Ushujaa uliotukuka kwa Simba S. C. Na pia lifanyike hili

Simba ni miongoni mwa timu 8 bora kati ya timu zaidi ya milioni moja barani afrika
Mkuu sidhani kama kuna Mtanzania ambae hataki timu kutoka Tanzania ichukue kombe,huyo atakuwa na matatizo ya akili labda.Kwa hatua ambayo Simba imefikia natamani na ninawaombea wachukue kombe.
 
Mbona hawa hawa Mbumbumbu walifika semi-final 1973 kwenye mashindano haya haya lakini hakukuwa na drama kama hizi?
Nakumbuka pia kuna mwaka walishafika quarter final, no drama. Hata watani wao Vyura nao walishafika quarter final I think twice - no drama.

Tuache drama za kimagufuli - he's dead now, dude!
 
Lamba limao.....litakusaidia.
 
Baada ya robot fainali ...


Ndipo kocha atafukuzwa[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…