Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa.
Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.