Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Naaam,
Kwa taarifa nilizonazo sio wote waliostahili daraja jipya la mshahara wamepata.
Kuna kundi kubwa la watu wametoka bila bila
Serikali itoe ufanunuzi kwanini hao wengine wamewekwa reserve.
Je, watapanda lini?
Na je, hamuoni mnatengeneza tatizo jipya la malimbikizo huku mkitatua la awali?
Tunaomba ufafanuzi tafadhali.