Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Wapo wanaodai walijaza kila kitu Ila wamekosa new digits .Je walijaza OPRAS? .
Kwakweli Sina tamwimu sahihiHebu weka takwimu! Asilimia ngapi wamepata na ngapi wamekosa!
Sasa Mkuu watu wawili ndio unasema watu wengi hawajapata?Kwakweli Sina tamwimu sahihi
Ila Nina watu Kama wawili hivi nawajua hawajapata hizo new digits
Mkuu just Kuna kundi kubwa tu hao wawili Ni specimen tu.Sasa Mkuu watu wawili ndio unasema watu wengi hawajapata?
Tuwe na subira! Roma haikujengwa siku moja! Yaliyomshinda Mwendazake kwa miaka 6 mama yetu anayatatua kwa muda mfupi mno! Yaani ni kufumba na kufumbua tu!
Subira yavuta kheri Mkuu!
AiseeIdara ya Elimu wamepanda walio ajiliwa 2014 pekee,, wengine hakuna kitu!.. na kwa Sisi wilaya yetu wote 2014 na 2015 tulipewa barua ya kupanda daraja, na ikielekeza itakua effective from 01.06.2021
Aisee Ni nomaIdara ya Elimu wamepanda walio ajiliwa 2014 pekee,, wengine hakuna kitu!.. na kwa Sisi wilaya yetu wote 2014 na 2015 tulipewa barua ya kupanda daraja, na ikielekeza itakua effective from 01.06.2021
Kuna mfumo unakuja kwa jina la ongea na waziri huenda ikasaidia kutazama upya haya mapungufuNaaam,
Kwa taarifa nilizonazo sio wote waliostahili daraja jipya la mshahara wamepata.
Kuna kundi kubwa la watu wametoka bila bila
Serikali itoe ufanunuzi kwanini hao wengine wamewekwa reserve.
Je, watapanda lini?
Na je, hamuoni mnatengeneza tatizo jipya la malimbikizo huku mkitatua la awali?
Tunaomba ufafanuzi tafadhali.
Naaam,

Bado watumishi wengi tu hawapata mishahara mipya pamoja ba kujaza OPRASSasa Mkuu watu wawili ndio unasema watu wengi hawajapata?
Tuwe na subira! Roma haikujengwa siku moja! Yaliyomshinda Mwendazake kwa miaka 6 mama yetu anayatatua kwa muda mfupi mno! Yaani ni kufumba na kufumbua tu!
Subira yavuta kheri Mkuu!