Serikali itoe ufafanuzi taratibu za Mtanzania kununua bonds za nchi zingine za EAC na SADC imetuacha gizani

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Serikali itoe ufafanuzi taratibu za Mtanzania kununua bonds za nchi zingine za EAC na SADC imetuacha gizani

Utaratibu ukoje. Mfano nataka kununua bond za Afrika kusini au Kenya nikiwa Tanzania
 
Serikali ya CCM unayo ishabikia humu jukwaani ndio imeharibu hii nchi! Hata Paypal tu ukiwa bongo haikubali! 2025 kataa ccm lasivyo utaendelea kulia lia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…