DENIS FRANCIS ELISHA
Member
- Aug 26, 2022
- 9
- 3
UTANGULIZI;
Kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa wasomi wenye taaluma mbalimbali katika kada za afya, maono yangu ni endapo serikali itaamua kuchukua hatua ya kutoa vibari kwa vikundi au jumuiya za watu wenye taaluma mbalimbali za afya inaweza kupunguza wimbi la wasomi wasiokuwa na ajira hasa katika taaluma za afya.
Serikali imekuwa ikiyoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo, asilimia 10 za halmashauli kwa vikundi vilivyosajiriwa na kufanya shughuri za uzalishaji Mali na kutoa huduma. Ushauri wangu pia kitu hiki kifanyike kwa vikundi au jumuiya zinazo jumuisha wanataaluma za afya hii Iko hivi.
Utolewe muongozo ambao utawaruhusu watu wenye taaluma mbalimbali wakiwemo, Matabibu, Wafamasia, Manesi na Wakunga, Wataalamu wa Maabara. Kwa idadi isyopunguaa watu 5 wasajiriwe wapewe na vibari sio vya kufungua hospitali bali kutoa huduma katika maeneo ambayo bado huduma za afya hazipatikani za kutosha na kwa urahisi yaani namaanisha huduma za afya zanazotembea ( Mobile Health Services), ikiwezekana wapewe na Ile mikopo ya Halmashauli ya asilimia 10 Ili kuwawezesha kufanya shughuri zao.
Hii itasaidia kupunguza wimbi la wasomi ambao hawana ajira hasa waliopo katika kada ya afya, pili kukuza uchumi wa Hawa watu, tatu kufanya huduma za afya kuwafikia watu kwa urahisi na kwa gharama nafuu hasa watu wa vijijini, Kuokoa muda wa kwenda kutafuta huduma za afya mbali zaidi na maeneo yao hivyo kutumia muda mwingi katika uzalishaji, pia kuiongezea serikali mapato kwasababu kutakuwa na Kodi na tozo mbalimbali zitakipwa kutika kwa hai watakaokuwa wanatoa huduma.
Tukifikiria tu kwa akili za kawaida tunaweza tusiione faida ya mpango wa namna hii lakini kwenye muongozo ya afya wametaja huduma ya afya inayotembea ( Mobile Health Services) kama njia mojawapo ya kufikisha huduma kwa urahisi kwa wanahitaji. Pia endapo serikali itaruhusu huduma hii ifanyike itolewe muongozo na vibari kama zilivyo huduma zingine zinazowafikia watu wakiwa majumbani kwao inaweza kufanikwa zaidi na kuwa na tija.
Tumekuwa tukiona yakifanyika makongamano ya kutoa huduma za afya za upimaji na ushauri tu watu wamekuwa wakijitokeza wengi pendekeza langu ni kuwa imefika wakati swala na jambo kama iko lifanyike kwaa ukubwa zaidi kwa kutoa fursa kwa watu wengi zaidi kufanya lakini pia watu wengi kushiriki kupatiwa huduma hii, itasaidia sana imekuwa ikifanyika lakini sio kwa ukubwa huo na kwa kutoa fursa kwa wataalamu wengi zaidi hasa wasiokuwa na ajira maalumi kuhusika mara nyingi shughuri kama hiizi zimeekuwa zikifanywa na taasisi binnafsi na za kiserikali kitu ambacho kimekuwa kikiwanyima fursa wataalamu ambao hawapo kwenye mfumo rasmi kujishughurisha na huduma hizo na kujipatia kipato kwa njia tofauti na mfumo rasmi uliozoeleka.
Tuchukulie tu mfano Kila Wilaya katika nchi yetu ipewe ukomo wa kusajiri vikundi visivyozidi kumi vyenye watu wasiopungua watano inamaana kila Wilaya itasajiri vikundi kumi vyenye watu wasiopungua 50 kwa makkadirio ya chini Tanzania kuna Wilaya zisizopungua mia mbili (200) tukitafuta jumla ya watu watakaokuwa wamepata ajira binafsi sio chini ya watoa huduma elfu kumi (10,000) jamani hivi kweli tunakuwa hatujapunguza idadi ya wasomi ambao hawana ajira mitaani?
MWISHO;
Haya mambo yote yanawezekana ni swala tu la kuamua kwamba sasa tunataka kutengeneza ajira kwaajiri ya vijana wetu na kwaajiri ya taifa letu na maendereo ya taifa letu tunaweza kwenda mbali kupita hatua haraka zaidi ya tunavyotegemea.
Huo ni mfano mmoja tu tukifanya vivyo hivyo kwenye sekta ya elimu, Sayansi na teknolojia, kilimo na biashara tunafanikiwa mapema sana. Endapo Kila mtu akaamua kufanya kwaajiri ya jamii na taifa kwa ujumla Tanzania tunaweza kwenda mbali na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika hata Duniani.
Mwisho kabisa niwashukuru jamiiforums kwa kuja na wazo hili watu Wana mawazo makubwa ila hawana pa kuyatolea yakifanyiwa kazi niwapongeze walau nyie mmejaribu kufanya kwa uwezo wenu huu ndo uzalendo wa kweli.
Nipende kuwakaribisha wana JF karibuni kwa mawazo na michango yenu ya kujenga kwaajiri ya ustawi taifa letu la Tanzania na jamii zake kiukweli hali huku ni mbaya sana japo kuwa hatuambiani ukweli swala la afya ya jamii bado ni mtihani watu wanajufa tena wanauwawa na magonjwa madogo kwa kukosa tu matibabu watu wanaingia katika dimbwi la umaskini kwasababu ya swala la afya tu wanatumia gharama kubwa wanauza Kila kitu Ili kutibiwa tusipo wasemea hakuna mtu atatoka mbinguni she awasemee tuje na michango ya mawazo kwaajiri ya kuwasaidia ndugu zetu ambao hawana watu wa kuwasemea.
Mwandishi: DENIS FRANCIS
Simu: 0755676359/0621010742
Em@il; denisfrancis120@yahoo.com
Mahari; SINGIDA- TANZANIA

Upvote
0