Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana itapunguza matendo ya zinaaEeeeeh!!!!!!.
Unafikiri watu wataacha kuzini? Sanasana utawapoteza wengiWakuu nina hoja fulani muhimu,
Serikali ifikirie kutoza faini kwa yeyote atakayekwenda hospitali akagundulika ana ugonjwa/magonjwa ya zinaa. Hii itasaidia kupunguza magonjwa hayo kwani watu watajilinda.
Ni maoni tu