Serikali ituambie ukweli kama eneo la viwanda vya Urafiki wamemuuzia au kumpa mwekezaji. Haiingii akilini kwamba wameuza kwa NHC

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kuna watu tuna nusa kama mbwa.

Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo.

Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba.

Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa ni big NEGATIVE.
 
Wameuzia NHC baada ya mda kidogo NHC ataingia ubia au kuuza kwa muekezaji mgine usishangae anaweza akawe mchina wa kibongo kibongo, ndo deal hizo za mjini na yote yatafanywa ndani ya sheria.
 
Mali ya Binadamu imeenda kwa Kaka bado watu mnapiga kelele. Acheni kulalamikia kila jambo. Hiyo NHC walioajiriwa ni watoto wenu, Nyumba zikijengwa ni nyie mtapangishwa acheni kujiliza bila sababu kama wanawake makahaba.
 
Kuna watu tuna nusa kama mbwa.

Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo.

Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba.

Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa ni big NEGATIVE.
Wameuziana wenyewe kwa 3bil ila wameisingizia NHC, Next week tutakuwekea majina ya wahusika wote, bado tunayakusanya
 
Mali ya Binadamu imeenda kwa Kaka bado watu mnapiga kelele. Acheni kulalamikia kila jambo. Hiyo NHC walioajiriwa ni watoto wenu, Nyumba zikijengwa ni nyie mtapangishwa acheni kujiliza bila sababu kama wanawake makahaba.
Umedanganywa kijinga sana!
 
Back
Top Bottom