A
Anonymous
Guest
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo kikuu cha dodoma tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi kuomba katika vyuo vingine licha ya kukosa dirisha la mkopo.
Tunataka kuendelea na elimu ya juu lakini kukosekana kwa AVN, namba ambayo chuo au Bodi inaweza kupata access ya kuangalia maendeleo yak oni changamoto inayotukwamisha.
Utaratibu wa maombi ya elimu ya juu ulivyo hauwezi kuendelea hadi uwe na AVN.
Tumefikisha hoja yetu kwa Uongozi wa Wanafunzi nao wanasema wanashughulikia lakini siku zinazidi kwenda tu bila mafanikio yoyote.
Tunaomba Serikali itusaidie kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kushughulikia changamoto yetu ya kuwezesha kupata AVN
number.