A
Anonymous
Guest
Mimi ni mkazi wa Mkoani Tabora, niweke wazi kuwa huku ketu hakuna sukari, maana nimezunguka maduka mengi bila mafanikio, nimekuja kuipata lakini nikashindwa kuinunua kutokana na bei kuwa juu.
Bei ya sukari si rafiki, mimi na maisha yangu magumu sukari kilo moja ni shilingi 6,000 na ninanunua kwa ajili ya Watoto wangu wadogo wawili waweze kupata uji wenye sukari asubuhi.
Naomba Serikali ya Tabora itusaidie sisi wenye kipato cha chini tumapata wakati mgumu kutokana na hali hiyo, naumiza sana na maisha ya Tabora.
Biashara zilivyo ngumu, unauza unajikusanya unajisemea sasa nikapate walau robo ya sukari na maharage aisee inaumiza sana.
www.jamiiforums.com

Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje
Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...