peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mfumo huu unaoupendekeza unatumika nchi gani duniani?Dunia nzima utaratibu wa mifumo ya UE upo hivyo, tujiulize tu kwanini huko kwingine matukio sio mengi(Sina data) halafu Tz yanashika kasi?Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake. Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima. Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili, cha nne na cha sita mitihani inalindwa kwa mtutu wa bunduki na TISS . Inakuaje mitihani ya vyuo vya elimu ya juu serikali imewaachia watu fulani kutumia nafasi hizo kutobolea wasichana na kuwadhalilisha? Rais tuliye naye ni asaidie kutatua changamoto hii hali mi mbaya vyouni.
Kwanini haiwezekani? Au ina uhusiano na Rocket science?Hilo haliwezekani labda Kama una option B
umeona wapi kokote duniani SEMESTER SYSTEM ikawa na mtihani wa taifa?Kwanini haiwezekani? Au ina uhusiano na Rocket science?
NYAMAZENI Kimyaaaaaa.....Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake.
Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima.
Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili, cha nne na cha sita mitihani inalindwa kwa mtutu wa bunduki na TISS . Inakuaje mitihani ya vyuo vya elimu ya juu serikali imewaachia watu fulani kutumia nafasi hizo kutobolea wasichana na kuwadhalilisha?
Rais tuliye naye ni asaidie kutatua changamoto hii hali mi mbaya vyouni.
Kwani semister system haifai kufutwa? Wanaokopeshwa mikopo na serikali mikopo hiyo bora wangekopeshwa wafungaji ili tupate nyama na maziwa .umeona wapi kokote duniani SEMESTER SYSTEM ikawa na mtihani wa taifa?
kwani kwasasa wafugaji hawawezi kukopa?Kwani semister system haifai kufutwa? Wanaokopeshwa mikopo na serikali mikopo hiyo bora wangekopeshwa wafungaji ili tupate nyama na maziwa .
Napata mashaka na mawazo yako mkuu, hivi unafikiria vijana wasioweza kujisomesha hatima yao itakuwa nini? Mfumo huo hauwezi kufutwa ni international standard. Suala la walimu kuhitaji ngono kwa wanafunzi linadhibitika ni ushirikiano wa wanafunzi na taasisi husika.Kwani semister system haifai kufutwa? Wanaokopeshwa mikopo na serikali mikopo hiyo bora wangekopeshwa wafungaji ili tupate nyama na maziwa .
NI MAKUBALIANO .. USIPOUMIZA KICHWA KWA KUSOMA..VIUNGO VINGINE VITAUMIA ILI UFAULUMabinti chuon wanaongozwa kupenda UTAMU.Acha wachakazwe mbunye zao.
[emoji16][emoji16]Nakubaliana na ww 1000%
ExactlyNI MAKUBALIANO .. USIPOUMIZA KICHWA KWA KUSOMA..VIUNGO VINGINE VITAUMIA ILI UFAULU
ExactlyNI MAKUBALIANO .. USIPOUMIZA KICHWA KWA KUSOMA..VIUNGO VINGINE VITAUMIA ILI UFAULU
Kwenye tatizo hili ambalo linaelekea kuota sugu, naomba niteuliwe niwe msaidizi wa wakuu wote wa vyuo vyote vyenye matatiizo ya aina hii, halafu nipewe muda ambao si zaidi ya miaka miwili. Sihitaji malipo ya nyongeza katika hili; mshahara nilionao tayari unanitosha. Halafu baada ya muda huo wa-Tanzania wanifanyie assessment kuona kama niko effective ama la!Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake.
Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima.
Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili, cha nne na cha sita mitihani inalindwa kwa mtutu wa bunduki na TISS . Inakuaje mitihani ya vyuo vya elimu ya juu serikali imewaachia watu fulani kutumia nafasi hizo kutobolea wasichana na kuwadhalilisha?
Rais tuliye naye ni asaidie kutatua changamoto hii hali mi mbaya vyouni.
Aisee pole kama yamekukuta, ila unaweza kuona wabinti ndowanataka wenyewe halafu mnazingizia Wahadhiri!Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake.
Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo.