Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Jirani yangu ana fuga ng'ombe 12 wa maziwa. Hawa ng'ombe wake hawatoki nje. Nmeanza kujiuliza huyu kila siku anazalisha kama kilo 250+ za kinyesi. Je anapeleka wapi? Na mkojo kama lita 210+ unaenda wapi?
Nmewaza sana kutokana na Takwimu za Prof Mayele. Huyu jirani anapeleka wapi hivi vitu? Maana kuna kijito hapa karibu kinapita. Ingawa sijafanikiwa kuona chura wakifa ...nasikia wakipiga tu kelele lakini je hii si shida?
Anapeleka wapi kinyes robo tani kwa siku? Anapeleka wapi huyu jirani?