Serikali iwaangalie wakulima wa miwa Kilombero wanadhulumiwa kwenye Malipo

Serikali iwaangalie wakulima wa miwa Kilombero wanadhulumiwa kwenye Malipo

Godfrey Rutalashwa

New Member
Joined
Aug 17, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk.

Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya sukari sh37,537.89 wakati huo huo kukiwa na utitiri wa makato yanayofanya mkulima kukata tamaa na kuwa kulima mazao mbadala.

Serikali tusaidieni Wakulima
 
Kumekuwa na malalamiko mengi sana na humu JF kumekuwa na nyuzi nyingi zikiwa na malalamiko ya namna iyo. Hapa nadhan serikali itakuwa inanufaika na hawa watu naskia hata viongozi wetu wakiendaga huko kwa mbwembwe huwa wanarudi wakiwa wapole na wenye tabasamu sijui huwa wanapewa nini😆
 
Back
Top Bottom